Ta Ha 20:18 قال هي عصاي اتوكا عليها واهش بها على غنمي ولي فيها مارب اخرى ١٨
قَالَ
هِيَ
عَصَايَ
أَتَوَكَّؤُاْ
عَلَيۡهَا
وَأَهُشُّ
بِهَا
عَلَىٰ
غَنَمِي
وَلِيَ
فِيهَا
مَـَٔارِبُ
أُخۡرَىٰ
١٨
Akasema: Hii ni fimbo yangu; naiegemea na ninawaangushia majani kondoo na mbuzi wangu. Tena inanifaa kwa matumizi mengine.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akasema Mūsā, «Hii ni ni fimbo yangu, naitegemea katika kwenda na ninapigia miti ili mbuzi wangu walishe majani yake yanayoanguka na pia nina maslahi nayo mengine.»
Akasema Mūsā, «Hii ni ni fimbo yangu, naitegemea katika kwenda na ninapigia miti ili mbuzi wangu walishe majani yake yanayoanguka na pia nina maslahi …